Hhc Alive Fm, ni radio ya Kikristo inayosikika kupitia 91.9Mhz kwa Wakazi wa Kanda ya Ziwa. Radio hii inasikika katika Mikoa ya Mwanza, Kagera – Bukoba Mjini, Mara – Musoma, na Mkoa mpya wa Geita.
RATIBA YA VIPINDI
Jumatatu – Ijumaa
Saa 1 – Saa 3 Asubuhi : Sunrise LiveSaa 3 – Saa 5 Asubuhi : Dira
Saa 5 – Saa 6 Mchana : Ingizo Jipya
Saa 6 – Saa 8 Mchana : Mid day Melody
Saa 8 – Saa 10 Jioni : Vipaji Halisi
Saa 10 – Saa 12 Jioni : Cross Rythm
Saa 12 – Saa 1 Usiku : Salamu za Jioni
Saa 1 – Saa 2 Usiku : Ijue kweli
Saa 2 – Saa 3 Usiku : Nyimbo za Taratibu
Saa 3 – Saa 4 Usiku : Kipindi Maalum cha Bishop Murisa
Saa 4 – Saa 5 Usiku : Nyimbo za Taratibu
Saa 5 – Saa 6 Usiku : The Night of Paradise
Saa 6 – Saa 7 Usiku : Salamu za Usiku
Saa 7 – Saa 11 Alfajiri: Nyimbo za Taratibu
Saa 11 – Saa 12 Asubuhi: Amka na 91.9
Saa 12 – Saa 1 Asubuhi : CDP Swahili
HHC ALIVE FM, SAUTI YA TUMAINI!!!
Kama upo nje ya Jiji la Mwanza, unaweza kuisikiliza Hhc Alive Fm kupitia; www.hhcalivefm.org