Jana katika Kanisa la New Vine Christian Centre(NVCC) lililopo Nyegezi, Mwanza(Tema Hotel-Ukumbi Mkubwa) chini ya Mchungaji Kiongozi Pastor Goodluck Kyara, kulikuwa na Tamasha Kubwa la Kusifu na Kuabudu liliyopewa Jina la "Higher Praises". Tamasha hilo lililoanza Saa 9:00 Alasiri lilimalizika Saa 1:00 Jioni na vikundi mbalimbali vya Kusifu na Kuabudu vilihudhuria Tamasha hilo ili kuwasogeza Watu katika Uso wa Mungu.
NVCC Praise & Worship Team ndo walikuwa Waandaaji wa Event hiyo na Watu zaidi ya Mia 3 walihudhuria Tamasha hilo la Kusifu na Kuabudu. Karibu kutazama Picha hizi za Jinsi Tukio lilivyokuwa........
 |
NVCC Praise Team ikiwa Back Stage |
 |
NVCC Gentlemen wakiwa Back Stage |
 |
NVCC Ladies wakiwa Back Stage |
 |
CBCI On Stage |
 |
Baadhi ya Watu waliohudhuria Ibada hiyo |
 |
Tafes Saut On Stage |
 |
Halleluyah!!! |
 |
Uweponi Mwake |
 |
Mtu wa Mungu, Mc wa Event Mr. Eliud Mwasenga |
 |
NVCC Praise Team |
 |
Here is Tontoo. "Moja, Mbili, Tatu, Kwa Jina la Yesu, Tunakanyaga Shetaniiiiiiiiiiiii..........!" |
 |
NVCC Praise Team ikihudumu |
 |
Sowane Emmanuel kwenye Tumba |
 |
Team ya Wapiga Vyombo, Boaz(Kushoto) Adolph(Katikati) na Jema(Kulia) |
 |
Mtoto wa Bishop Irene Nzwalla, Muite Adolph Robert Nzwalla |
 |
Pastor Goodluck Kyara akisifu |
 |
NVCC Praise Team On Stage |
 |
Mikono Juu, Mikono Juu. Alama ya Ushindi................. |
 |
Kwa YESU kuna Raha Jamani |
 |
Mama Praise wa Tafes Saut, Muite Aneth |
 |
Kutoka MICC Praise Team, Huyu ni Juma Luchele. Weka mbali na Mic |
 |
Brother James Kalekwa(Kushoto) akiwa na Hilly |
 |
Team Boaz On Stage |
 |
Pastor Goodluck Kyara(Kulia) |
 |
Man of God Boaz |
 |
'Mungu wa Eliya aaaah, shusha Motooooo eeeh..............!" |
 |
Ilifika Mahala hadi Ushers(Wahudumu: Wenye nguo nyeusi Kulia) Wakaacha kazi zao na Kuamua kujiunga na Wengine |
 |
Hapo hakuna kumkanyaga Mwenzako |
 |
Utukufu Kwa Mungu |
 |
Noel(Kushoto) na David(Kulia) |
 |
Here is Man Adolph Robert Nzwalla |
 |
Wacha Weeeeeeeeeeeeeeee...........!!! |
 |
Wapi Mama Praise Aneth(Wa Katikati) |
 |
Alipoona wenzake wanafaidi, Mc wa Event Mr. Eliud(Kulia) nae akaamua kuachia Mic na Kuanza kucheza |
 |
Pastor Goodluck Kyara akifanya Maombi ya Kufunga Ibada hiyo |
= Utukufu Urudi Kwake Aliye Mkuu kupita Wote =