Advertise Here

Friday, October 11, 2013

Kanisa la Ufufuo na Uzima lafungua Tawi Mkoani Arusha.

Mchungaji Josephat Gwajima
Kanisa la Ufufuo na Uzima(Glory of Christ Tanzania Church) lililo chini ya Mchungaji Josephat Gwajima lenye Makao yake Makuu Jijini Dar es salaam, sasa limefungua tawi lake Mkoani Arusha ambapo Mchungaji Josephat Gwajima amekwenda kuhudumu kanisani hapo.

Katika Ibada hiyo iliyokuwa na Mguso wa kipekee, Mungu amejidhihirisha kwa namna ya ajabu sana. Tazama Video hii uone kilichojiri huko Arusha.