Advertise Here

Wednesday, October 16, 2013

Tazama Clip ya Video ya "Collable" ya John Lisu na Christina Shusho.

"Collable" hii ilifanyika Siku ya Live DVD Recording ya john Lisu ijulikanayo kama "Uko Hapa". kama hukupata fursa ya kuhudhuria Event hii ambayo ilikuwa gumzo la jiji, Basi tazama video hii