Advertise Here

Wednesday, October 16, 2013

Tunaomba radhi kwa hili.

Mwl. Christopher Mwakasege
Tunaomba radhi kwa kutokuweka Mafundisho ya Mwl. Christopher Mwakasege leo katika Mtandao huu kama ilivyo kila Jumatano. Tafadhali ungana nasi Jumatano Ijayo kwa Mafundisho ya Mwl. Christopher Mwakasege.

Kwa Habari mbalimbali za Kikristo na Mafundisho ya Neno la Mungu, endelea kutembelea Mtandao huu kila siku.