Jana ilikuwa ni siku ya kufunga ndoa kwa Bw. Samuel Sasali a.k.a The Blogger na Bi. Milembe John Madaha.
Sasa haya ni Matukio katika Picha jinsi tukio zima lilivyokuwa
 |
Sam Sasali akimvisha Pete Milembe |
 |
Milembe akimvisha Pete Sam Sasali |
 |
Hapa wakionesha Vyeti vyao vya Ndoa |
 |
Wakitoka Kanisani |
Kisha shughuli nzima ikahamia Ukumbini
 |
Mr. & Mrs. Samuel Sasali |
 |
So Beautiful |
 |
Handsome Men |
 |
Ukweni |
 |
Ukweni |
 |
Prosper Mwakitalima akitoa Zawadi kwa Maharusi |
 |
Blogger Jimmy akitoa Zawadi |
Tunawatakia Maisha Mema na yenye Furaha na Baraka Tele.
- Uncle Jimmy -