Advertise Here

Wednesday, October 9, 2013

Sikiliza Mafundisho ya Mwl. Christopher Mwakasege - Sadaka Part II.

Mwl. Christopher Mwakasege
Sikiliza Sehemu ya Pili ya Mafundisho haya kuhusu "Sadaka" kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Mwl. Christopher Mwakasege aliyofundisha katika Semina iliyofanyika Jijini Dar es salaam, Mwezi September 2013 katika Viwanja vya Jangwani.

Kama Unahitaji CD za Mafundisho haya, Wasiliana na Huduma ya MANA kwa Mawasiliano yafuatayo: 

Simu: 0736581861
 Facebook: Christopher & Diana Mwakasege(Mana Ministry).
 Postal Address: P. o Box 2166, Arusha,Tanzania Fax: 0736581862
 Email: tasoet@nexusdigital.co.tz

Usikose kufuatilia Mafundisho ya Mtumishi wa Mungu Mwl. Christopher Mwakasege kila Jumatano kupitia Mtandao huu.