Advertise Here

Monday, October 14, 2013

Send Off ya Frida Madenda, Mke Mtarajiwa wa James Kalekwa.

October 12, 2013 ilikuwa ni Siku ya Send Off ya Frida Madenda ambaye ni Mke mtarajiwa wa James Kalekwa. Send Off hii ilifanyika Mkoani Shinyanga ikihusisha ndugu wa Frida Madenda waishio Shinyanga na Kanda ya Ziwa kiujumla baada ya Kufanyika kwa Send Off nyingine Jijini Dar es salaam wiki 1 iliyopita.

Tazama namna mambo yalivyokuwa kwenye Send Off hiyo






James Kalekwa ni Mwanataaluma, Mwandishi wa Vitabu, na Mwalimu wa Neno la Mungu ambaye amekuwa akifundisha pia kupitia Mtandao huu kila Jumatatu. Wawili hawa wanatarajia kufunga ndoa Jumamosi ya Octoba 19, 2013.

Mtandao huu unawatakia Amani na Upendo katika Ndoa yenu