Advertise Here

Monday, October 7, 2013

Mamia ya Watu wamwadhimisha Mungu katika Tamasha la "Higher Praises".

Siku ya Jana ilikuwa ni siku ya Kipekee sana kwani wakati watu wakihudhuria Live DVD Recording ya John Lisu kwa Upande wa Dar es salaam, huku Mwanza kulikuwa na Ibada kubwa Sana ya Kusifu na Kuabudu katika Ukumbi wa Tema Hotel, Nyegezi Mwanza, chini ya Huduma ya New Vine Christian Centre(NVCC).

Tazama mwenyewe Mambo yalivyokuwa kwenye Ibada hii ya Kusifu na Kuabudu






Praise Team






Sasa Tazama kipande hiki cha video uone watu wakimsifu Mungu