Advertise Here

Tuesday, October 15, 2013

Ibada ya Pamoja ya Kwanza UKWATA - Bugando.

Wahitimu wa Ukwata - Bugando
Ushirika wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania(UKWATA) - Bugando, unawakaribisha watu wote kwenye Ibada ya Pamoja ya Kwanza kwa Mwaka wa Masomo 2013/2014 itakayofanyika Jumapili hii Octoba 20, 2013 katika Ukumbi wa MD1, Kuanzia Saa 1:30 - Saa 4:00 Asubuhi.

Karibu upate Ujumbe wa Neno la Mungu kupitia Kwaya, Kusifu na Kuabudu pamoja na Ujumbe wa Neno la Mungu kutoka Kwa Mtumishi wa Mungu aliyeandaliwa Maalumu kwa ajili ya Siku hiyo.

Mungu akubariki sana, na Usisahau kuomba kwa ajili ya Ibada hiyo ili Mungu afanye kitu kupitia Ibada hiyo Jumapili hii.

Mawasiliano
ukwatabugando@ymail.com
+255 756 453 725
+255 654 940 017