Advertise Here

Wednesday, September 12, 2012

Mtangazaji wa Kipindi cha Television na Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Vandarray, atoa wimbo mpya baada ya kunusurika ajali.

Vandarray
Cover la wimbo "I made It"

MTANGAZAJI wa kipindi cha Television na Muimbaji wa Nyimbo za injili toka Antlanta Vandarray, ametoa wimbo wake mpya wa kwanza toka anusurike katika ajali mbaya iliyotaka kuchukua Uhai wake.

Vandarray ameupa Jina la "I made it" wimbo huo ambao aliuandika miezi kadhaa kabla ya kupata ajali hiyo aliyoipata alipokuwa akitokea kwenye mazishi huko South Carolina, akiwa yeye pamoja na watoto wake wa kike wawili.

Vandarray ni Mtangazaji wa Tv show ya "Vandarray Show" na pia ni Mchungaji wa Huduma inayochipukia kwa kasi sana huko Antlanta. Kusikiliza wimbo wa Vandarray wa "I made It"

Bofya Hapa