| Baadhi ya Waumini katika Katika Ibada ya Chrismas(Jana) katika Kanisa la KKKT-Usharika wa Azania Front |
| Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Eusebius Nzigilwa akiongoza Ibada ya Mkesha wa Chrismas katika Kanisa la Mt. Petro, Osterbay Jijini Dar es salaam |
| Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dr. Alex Malasusa akihubiri katika Ibada ya Chrismas hapo Jana katika Kanisa la KKKT-Usharika wa Azania Front. |
| Baadhi ya Waumini wa Kanisa Kuu la Mt. Joseph wakiwa katika Ibada ya Sikukuu ya Chrismas hapo Jana |
| Baadhi ya Akina Mama waliojifungua Siku ya Chrismas(Jana) wakiwa na watoto wao katika Hospitali ya Mwananyamala, Jijini Dar es salaam. |
![]() |
| Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Muadhama Polycarp Kadinali Pengo akipokea Michango mbalimbali ya fedha kutoka kwa Viongozi wa Jumuiya za Kikristo katika Jimbo la segerea |


