Advertise Here

Friday, February 15, 2013

Habari Picha: Jessica Honore na Waimbaji Wake.

Jessica Honore(Aliyekaa) akiwa na baadhi ya waimbaji wa Jessica Music
Tarehe 10 Mwezi wa 3, Jessica Honore(aliyekuwa Mwimbaji wa Glorious Celebration) atakuwa anazindua Albam yake ya Kwanza pale Serena Hotel Jijini Dar es salaam kuanzia Saa 1 Usiku na Kiingilio ni Sh. 20,000 tu kwa Ajili ya Ku'suport The Jessica Music.

USIKOSEEEEEE!!!