Advertise Here

Thursday, February 28, 2013

Hatua za kwenda katika Hatua Nyingine, Kitabu kitakachobadili Mfumo wa Maisha yako.

WAKRISTO wengi wamekuwa hawaoni mabadiliko katika maisha yao, na mara nyingi wamekuwa wanataka kuombewa tu na watumishi wa Mungu lakini hawachukui hatua ya utendaji ili kufanya maombi hayo kuwa na majibu.
                
Kitabu hiki kimeeleza kiundani ngazi za kumuwezesha mtu yeyote kuweza kupata mabadiliko chanya katika maeneo yote kama kihuduma, kimasomo, mahusiano hadi ndoa, biashara, familia, kazi nk.
                
Lengo ni kufika HATUA NYINGINE, lakini mtu huwezi kufika juu kabla ya kuchukua hatua ndogo ndogo zitakazompeleka huko juu.
               
 Kuna hatua saba za kufika katika kusudi la Mungu katika maisha yako. Hatua ya kwanza ni Matarajio Mema na hatua ya mwisho ni Utendaji Bora. Pata nakala ya kitabu hiki ili uzifahamu hatua zote saba na ubadili maisha yako sasa.
            
           Kwa Dar es salaam kitabu kinapatikana maeneo yafuatayo: CCBC-Survey, Ubungo Bus Terminal, Efatha Bookshop (Mwenge), Tarakea Christian Bookshop(Mwenge), TPH bookshop(Samora Avenue), Sunlight Bookshop(DPC -Kinondoni), Canaaland Bookshop(Winners chapel G/Mboto), Mbogo Bookshop(Benjamini Mkapa High School, Kariakoo kwa Nyamoga ilipokuwa Ilala TAG, na Tegeta Kibaoni.

Kama uko nje ya Dar es salaam, piga simu namba zifuatazo: Dodoma - 0762 898546, Morogoro - 0653 358086, Mbeya - 0654779468, Arusha - Kimahama Bookshop, Moshi - 0712 849965, Mtwara - 0653 244848.

Kwa Mawasiliano zaidi, wasiliana na Mwandishi wa kitabu hiki Dr. Richard Z. Adam kwa namba zifuatazo: 0717 085810, 0758416940, 0782 085810.