Advertise Here

Friday, February 15, 2013

Mkutano wa Injili bado unaendelea katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya.

Askofu Mosses Kulola
Mkutano wa Injili bado unaoendelea Katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Maeneo ya Lumala Mpya Jijini Mwanza nyuma ya Soko la Saba Saba.
 
Mkutano huu unatarajiwa kuisha Jumapili hii, na Wanenaji katika Mkutano huo ni Mchungaji Daniel Mosses Kulola na askofu Mkuu wa EAGT Mosses Kulola.
 
Masanja Mkandamizaji na Yusto Onesmo Mzee wa Mifupa Mikavu wanahudumu katika Mkutano huu. Mkutano unaanza Saa 9:30 Alasiri.