![]() |
Jessica Honore |
Muda Mfupi uliopita Jesca Honore kupitia ukurasa wake wa facebook ametoa taarifa ya mabadiliko ya tamasha lake alilotarajia kulifanya pale Serena Hotel.
Jesca amesema "ARIFA YA MABADILIKO:ZIMA UKIMYA NA JESSICA HONORE, ITAKUJIA NDANI YA CITY CHRISTIAN CENTER, TAREHE 24 MARCH, BADALA
YA SERENA HOTEL 10 MARCH. KUMRADHI KWA MABADILIKO HAYA, NIKATIKA HALI YA
KUBORESHA!! DONT MISS THE CONCERT DATE 24 MARCH AT CCC UPANGA. LOVE U
ALL!! slogn(The jessica Music/change the atmospher)"
USIKOSEEEEEEEE!!!