Advertise Here

Saturday, October 13, 2012

Habari katika Picha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete atembelea Makanisa yaliyoharibiwa Jana na Waislam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia uharibifu mkubwa uliofanywa na Waislam katika Kanisa la Pentekoste - Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu. (Picha; Issa Michuzi)