Advertise Here

Sunday, October 14, 2012

Hongera kwa Kufunga ndoa Mercy P. Dennis wa Glorious Celebration.

Mercy P. Dennis akiwa na Mumewe Victor Sosteness Langula
JANA ilikuwa ni siku ya harusi ya Mmoja wa waimbaji wa kundi la Glorious Celebration Band ya Jijini Dar es salaam Mercy P. Dennis baada ya kufunga Ndoa na Victor Sosteness Langula katika Kanisa la Mito ya Baraka kwa Mchungaji Mwakibolwa.
Mercy akiwa katika Pozi
 Baada ya kufunga ndoa, tafrija ya kuwapongeza wanandoa hao ikafuata maeneo ya Msasani Beach.
Victor(Mume wa Mercy) akiwa katika Pozi
Blog hii inawatakia wanandoa hawa Maisha Mema na yenye Baraka tele.