Advertise Here

Friday, October 12, 2012

Semina ya Vijana chini ya Mtumishi wa Mungu Pastor Zakayo Nzogele.

Pastor Zakayo Nzogele
SIKU ya kesho pamoja na Jumapili hii ni siku za Semina ya Neno la Mungu kwa Vijana zitakayofanyika katika hotel ya Victoria Anox iliyopo maeneo ya Furahisha jijini Mwanza. Mnenaji katika Semina hiyo ni Mtumishi wa Mungu Pastor Zakayo Nzogele kutoka katika Kanisa la Mwanza International Community Church(MICC).

Semina hiyo itaanza mida ya Saa 8 mchana mpaka Saa 12 Jioni kila siku kwa siku mbili mfululizo. Mada katika Semina hiyo ni Relationships na Scholarship oppertunities.

NYOTE MNAKARIBISHWA!!!