Advertise Here

Wednesday, October 17, 2012

Habari katika Picha; Mwanajeshi apanda na Magwanda Stejini katika Tamasha la Flora Mbasha Nchini Congo.

Hii kwa Tanzania bado sijaiona. Huyu ni Mwanajeshi wa Jeshi la Nchini Congo akicheza na Magwanda katika Tamasha lililofanywa na Flora Mbasha pamoja na Mumewe Emmanuel Mbasha huko Nchini Congo. Flora na Mumewe walipewa Ulinzi wa kutosha sana.
(Picha; Flora Mbasha)

Ni kama Vita hivi, kumbe ni katika kuhakikisha kuwa Watumishi wa Mungu Flora Mbasha na Mumewe Emmanuel Mbasha wanafanya Tamasha katika hali ya Usalama zaidi huko Nchini Congo.
(Picha; Flora Mbasha)