Advertise Here

Sunday, October 14, 2012

Waumini wa Kanisa la KKKT Usharika wa Mbagala, wafanya Ibada nje ya Kanisa.

Waumini wa Kanisa la KKKT Usharika wa Mbagala wakiendelea na Ibada nje ya Kanisa kutokana na Uharibifu wa kanisa hilo uliofanywa na Waislamu katika vurugu zilizotokea siku ya Ijumaa.
Muonekano wa Kanisa la KKKT Usharika wa Mbagala kwa ndani jinsi lilivyoharibiwa.