Advertise Here

Friday, October 12, 2012

Habari katika Picha kutokana na vurugu zilizotokea leo huko Mbagala.

Moja ya Kanisa linalosemekana kuwa limechomwa moto leo katika vurugu vilizofanywa na waislam maeneo ya Mbagala Jijini Dar es salaam.