Advertise Here

Friday, September 6, 2013

Kanisa dogo duniani la Kikatoliki lagundulika nchini Kenya.

Ni kanisa la Kikatoliki lenye viti vinne, Upana wa Mita 5 na Urefu Mita 5 (Mraba) lipo Nchini Kenya, eneo la Mahimahiyu.

Tazama Video hii ujionee mwenyewe