Advertise Here

Friday, September 13, 2013

Padre wa Kanisa Katoliki Zanzibar amwagiwa Tindikali.

Padre Ancelmo Mwang'amba baada ya kumwagiwa Tindikali
Padre Ancelmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar amemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege, na watu wasiojulikana. Hili ni tukio la tano sasa kwa watu kumwagiwa tindikali Zanzibar.

Tazama Video hii kutoka ITV Tanzania kwa Habari Zaidi