Advertise Here

Sunday, September 8, 2013

Sikiliza Mafundisho ya Mwl. Christopher Mwakasege - Kumcha Mungu Part I.

Mwl. Christopher Mwakasege
Sikiliza Mafundisho haya yenye Kichwa cha Somo "Kumcha Mungu" kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Mwl. Christopher Mwakasege aliyofundisha katika Semina iliyofanyika Jijini Mwanza, Mwezi Julai 2013 katika Viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza.

 Hii ni sehemu ya Kwanza ya Mafundisho haya. Usikose Kusikiliza Sehemu ya Pili ya Mafundisho haya siku ya Jumatano. Endelea kutembelea Mtandao huu.

Kama Unahitaji CD za Mafundisho haya, Wasiliana na Huduma ya MANA kwa Mawasiliano yafuatayo:

Simu: 0736581861
Facebook: Christopher & Diana Mwakasege (Mana Ministry).
Postal Address: P. o Box 2166, Arusha, Tanzania.
Fax: 0736581862