Advertise Here

Wednesday, September 11, 2013

Semina kubwa ya Neno la Mungu Mwanza.

Tangazo la Semina
Huduma ya New Vine Christian Centre wanakukaribisha katika Semina Kubwa ya Neno la Mungu "USHINDI KATIKA MALANGO YAKO YA BARAKA" itakayoanza Jumapili ya September 22 - 29, 2013, Mahali ni Tema Hotel(Ukumbi Mkubwa), Nyegezi-Mwanza. Semina itakuwa ikianza Saa 9:30 Alasiri - Saa 12:00 Jioni.

Wanenaji katika Semina hiyo ni Mch. Jesse Jonathan(Dar es salaam) na Mch. Goodluck Kyara(Mwanza). 

Kwa Maelezo Zaidi
0712 113305/0754 435951