Advertise Here

Tuesday, March 12, 2013

Hii ndo Taswira ya Mchoro wa Muuaji wa Padri Evarist Mushi.

Picture
Mchoro wa Taswira wa Mtu aliyemuua Padri Evarist Mushi
Jeshi la polisi Zanzibar limetoa mchoro wa taswira ambayo inasadikiwa kuwa ndiye sura ya muuaji wa Padri Evarist Mushi wa kanisa katoliki Zanzibar aliyeuwawa mwezi uliopita akiwa njiani kuelekea kanisani kwa ajili ya kuongoza ibada.