Advertise Here

Wednesday, November 6, 2013

Mwl. Christopher Mwakasege: Jiandae kukutana na nguvu za Mungu utoapo Sadaka.

Sikiliza Mafundisho haya ya Mwl. Christopher Mwakasege yenye Kichwa cha Somo: Jiandae kukutana na nguvu za Mungu utoapo Sadaka, Mafundisho yaliyofundishwa katika Semina ya mkoani Iringa iliyoisha wiki iliyopita.

Kama Unahitaji CD za Mafundisho haya, Wasiliana na Huduma ya MANA kwa Mawasiliano yafuatayo: 

Simu: 0736581861
 Facebook: Christopher & Diana Mwakasege(Mana Ministry).
 Postal Address: P. o Box 2166, Arusha,Tanzania Fax: 0736581862
 Email: tasoet@nexusdigital.co.tz

Usikose kufuatilia Mafundisho ya Mtumishi wa Mungu Mwl. Christopher Mwakasege kila Jumatano kupitia Mtandao huu.