Advertise Here

Monday, November 11, 2013

Utabiri wa TB Joshua wakamilika Mafuriko ya Ufilipino.

Wakati wa Ibada ya Jumapili ya SCOAN Nigeria iliyokuwa Ikirushwa Live na Kituo cha Emmanuel Tv, Nabii TB Joshua alitabiri kuwa kuna Nchi itakumbwa na Mafuriko katika Nchi Moja wapo katika Bara la Asia. Na ndivyo ilivyotokea huko Ufilipino, huku Watu zaidi ya 10,000 wakipoteza Maisha.

Tazama alichokisema TB Joshua na Kilichotokea baada ya Utabiri huo