Advertise Here

Wednesday, November 13, 2013

Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Kenya, Mercy Wairegi kufunga ndoa Mwezi huu.

Mercy Wairegi
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili wa Kenya Mercy Wairegi ambaye ni Muumini wa Kanisa la "House of Grace" la Kenya ambaye pia ni Kiongozi wa Nyimbo za Kusifu na Kuabudu Kanisani hapo, atarajia kufunga ndoa na Mch. Zeph.

Baada ya kutoa Wimbo wake unaofanya vizuri sana kwasasa wa "Nakutazamia", Mercy Wairegi sasa anatarajia kuingia katika Mfumo Mpya ya Maisha baada ya Kufunga ndoa na Mch. Zeph Novemba 30, Mwaka huu.

Mtandao huu unawatakia Maisha Mema katika Ndoa yao.

Tazama Video ya Mercy ya "Nakutazamia"