Advertise Here

Monday, November 11, 2013

Kitabu cha "Kusudi la Majira yako" cha Fred Msungu.

Cover la Kitabu
Utafanya nini endapo utagundua kwamba una Miaka mitatu tu ya kuishi? Kimsingi ni kweli haupo duniani kuishi milele kwa hiyo ni busara kutambua nyakati na majira ili usiwe na maisha ya mazoea.

Mkononi mwako una kitabu ambacho ni zana muhimi ya kutambua Kusudi la Majira yako baada ya kusoma na kujifunza tenda..Hamasa ya kitabu imelenga kuweka akili ya Mungu ndani ya akili na Roho za watu katika nyakati zetu.

Kupitia kitabu hiki, tambua ni nini ni mpango wa Mungu juu yako? Kwanini unaishi leo? Kwa nini ni wewe sasa na Mahali Ulipo?

Tazama Clip Hii ya Video Kuhusu Kitabu hiki

Jipatie Nakala ya kitabu hiki sasa ili kujua "Kusudi la Majira yako"

Piga Simu Namba: 0653 318117
Facebook: Fred Msungu