Advertise Here

Wednesday, November 6, 2013

Washiriki Tuzo za "Xtreem Teeniz Awards" za Nchini Kenya kupatikana Ijumaa hii.

xtreem nomination gala post
Tuzo mpya za Muziki wa Injili Nchini Kenya "Xtreem Teeniz Awards" zilizozinduliwa rasmi Oktoba 11, 2013, zina lengo la kusaka vipaji vipya vya Waimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini Kenya.

Mchakato wa Kuwapata washiriki katika Tuzo hizo, Utafanyika Ijumaa hii ya Novemba 8, 2013 katika Ukumbi wa CRC Parklands Chiromo Lane Mkabala na K1, kuanzia Saa 12:00 Jioni, na Majaji watakuwa ni Waimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka Nairobi.