Advertise Here

Monday, November 11, 2013

Yaliyojiri jana katika Uzinduzi wa Live DVD ya GWT pale CCC Upanga.

GWT On Stage
Usiku wa Jana Katika kanisa la City Christian Centre(CCC) lililopo Upanga Jijini Dar es salaam, Kundi Maarufu la kusifu na Kuabudu Glorious Worship Team(GWT) la Jijini Dar es salaam lilizindua Live DVD yao ijulikanayo kama "Umenifanya Ibada".

Katika uzinduzi huo, Mgeni Rasmi alikuwa ni Mke wa aliyekuwa Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa.

Sasa tuambatane pamoja katika kutazama Picha hizi Uone namna Tamasha hilo lilivyokuwa
Baadhi ya waimbaji wakiwa Jukwaani
Kikosi kamili kikiwa tayari Kuhudumu
Hapo sasa.....!!!
Umati wa watu wakienda sawa na GWT
Sehemu ya Umati ukiwa CCC Jana
Kazi ikisonga mbele
Hapana Kukanyagana.......!!!
Mama Lowassa akijibu Lisala ya GWT katika Uzinduzi huo
DvD hiyo ina Jumla ya nyimbo 14 ambazo baadhi ni kama Umenifanya Ibada, Hakuna rafiki, Sogea, Nimemuona na nyinginezo.

- Picha Zote na Uncle Jimmy -