Advertise Here

Thursday, November 14, 2013

Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Ghana, Jenny C kuzindua Album yake Mpya Mwezi huu.

Jenny C Gospel singer Jenny C. Is Set To Release A New Album
Jenny C
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini Ghana Jenny C, anatarajia kuzindua Album yake mpya inayokwenda kwa Jina la "Heart Desire" Novemba 23, Mwaka huu huko Nchini Belgium.

Waimbaji wengi wa Ghana waishio Nje ya Nchi hiyo kama Paa Boateng, Esther Amoako, Miss Vida Asieduwa, Mrs. Celestina Akua Bediako, Justice Nhyira na wengine wengi, wamealikwa kushiriki katika Uzinduzi huo.